Uturuki inaazimia kuendeleza juhudi zake za kupambana na kundi la kigaidi linalojiita Dola la Kiislamu IS katika ngome yao kuu ya Raqa mji ulioko kaskazini mwa Syria// Ikiwa imesalia miezi sita kabla ya uchaguzi mkuu hapo mwezi Agosti mwaka huu nchini Kenya, Joto la kisiasa linazidi kupanda kwa kiwango cha kutia hofu.