1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hotuba ya Netanyahu katika bunge la Marekani ilipokelewaje?

25 Julai 2024

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akilihutubia bunge la Marekani Jumatano alisema Israel na Marekani ni lazima ziungane kuumaliza "unyama." Kuiangazia hotuba ya Netanyahu katika bunge la Marekani Suleman Mwiru amezungumza na Ahmed Rajab, mchambuzi wa siasa za kimataifa na kwanza alitaka kujua tathmini yake kuhusu mapokezi ya Benjamin Netanyahu.

https://p.dw.com/p/4ijfj