Matangazo
Siku chache baada yakurejeea toka Marekani ambako alitukiwa nishani ya Uzalendo Ulio Tukuka, Mwanariadha wa kwanza kuiwakilisha Tanzania kwenye medani za Kimataifa na ambaye aliacha historia ya aina yake ya dunia nchini Mexico mwaka mawaka 1968 kwakumbia umbali wa kilometa 12 huku akiwa amevunjika mguu, John Akwari, ameshauri kuanzishwa kwa vituo vya kikanda nchini Tanzania ili kukuza vipaji vya michezo mbalimbali.