Haki za Watoto – Kipindi 03 – Bunge la Watoto22.03.201122 Machi 2011Nadia kutoka Burkina Faso sio tu kiongozi kwa kuzaliwa anayetaka kusuluhisha mambo kutumia maneno badala ya misuli. Pia ni mbunge – katika umri mdogo wa miaka 12! Unataka kufahamu mengi kumhusu? Bonyeza hapa!https://p.dw.com/p/QquLMatangazo