Katika makala ya Mbiu ya Mnyonge, Thelma Mwadzaya anamulika haki za kisheria kwa wafungwa wengi walioko magerezani, na hasa ikizingatiwa kuwa wengi wao ni wale waliotenda makosa madogo madogo lakini wakikosa pesa za kulipa faini na badala yake wanaswekwa jela.