Umekuwa ni mwaka mbaya kwa kampuni ya mtandao wa Facebook na wawekezaji wake, kuanzia suala la data za watumiaji, habari za uongo na kupungua kwa idadi ya watumiaji. Lakini je kampuni hiyo inafanya nini kurekebisha hali hiyo? Ni katika makala ya Sema Uvume na Sylvia Mwehozi.