JamiiDuma aingia ndani ya gari la watalii, SerengetiTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiYusra Buwayhid03.04.20183 Aprili 2018Duma aingia ndani ya gari la watalii katika hifadhi ya taifa ya wanayama pori na misitu ya Serengeti nchini Tanzania. Ingawa hakudhuru mtu duma huyo aliwapa wasiwasi wa kutosha watalii hao kutoka Marekani.https://p.dw.com/p/2vPzKMatangazo