JamiiCorona: Wanamuziki watumbuiza angani kufuatia athari za COVID-19To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamii25.06.202025 Juni 2020Wanamuziki watatu wa mjini Cloppenburg hapa Ujerumani hivi karibuni walitumbuiza wakiwa kwenye puto la gesi, angani, kama njia yao ya kuonesha magumu wanayopitia enzi hizi za corona.https://p.dw.com/p/3eKkuMatangazo