SiasaChuo cha ndege zisizo na rubani Cote d'Ivoire To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaGrace Kabogo27.03.201827 Machi 2018Chuo cha ndege zisizo na rubani kimeanzishwa Cote d'Ivoire kwa lengo la kusaidia katika sekta ya umeme, teknolojia, kilimo na madini. Wanafunzi wanajifunza jinsi ndege hizo zinavyoweza kukagua miundombinu na kuhakikisha usalama wake. https://p.dw.com/p/2v4yNMatangazo