Kwenye makala Sema Uvume, safari hii tunaangazia chuo cha kwanza barani Afrika cha kutengeneza drones, yaani ndege zisizohitaji rubani. Aidha tutaangazia jinsi mitandao ya kijamii hasa ule wa Instagram unavyotumiwa kufanya matangazo ya kimitindo. Mtayarishaji ni Yusra Buwayhid.