Sekta ya upashaji habari inakua kwa kasi katika maeneo tofauti duniani, lakini kwa namna ya kipekee nchini Tanzania radio ya mtandanoni ya vijana "Boresha Radio" imekuwa mfano wa aina yake kwa kujikita katika masuala ya maendeleo. Zaidi msikilize mkurugenzi wa redio hiyo, Mussa Sango alipozungumza na DW.