HistoriaBibi Titi Mohamed: "Mama wa Taifa" TanzaniaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoHistoriaYusra Buwayhid28.02.202028 Februari 2020Tanganyika ilipopata uhuru, Mwalimu Julius Nyerere ndiye aliyesifiwa na kupewa jina la baba wa taifa. Lakini bila ya Bibi Titi Mohamed, asingekuwa na ushawishi wa kutosha wa kufanikiwa kuikomboa nchi hiyo.https://p.dw.com/p/3YbBfMatangazo