Vizuizi vya COVID-19 vimechangia watu wengi kugeukia zaidi njia za kidijitali katika kuwasiliana. Leo katika Sema Uvume utasikia juu ya App mpya ya mawasiliano ya sauti inayoitwa ClubHouse ambayo tayari imeanza kujizolea umaarufu katika mataifa kadhaa ikiwemo Ujerumani. Ungana na Sylvia Mwehozi kutoka desk la masuala ya teknolojia na mitandao