JamiiAjira kwa watoto bado ni tatizo IndiaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiYusra Buwayhid12.06.201912 Juni 2019Kila mwaka mnamo Juni 12 ni siku ya kupambana na ajira kwa watoto ulimwenguni. Kwa upande wa bara la Asia, watoto wapata milioni 4.4 wa kati ya miaka mitano hadi kumi na nne wanalazimika kufanya kazi nchini India. Hali ikoje katika nchi unayoishi?https://p.dw.com/p/3KFs5Matangazo