Ajali ya Feri
30 Desemba 2006Matangazo
JAKARTA:
Mamia ya watu wametoweka baada ya feri moja la Indonesia lililopakia abiria kuzama katika dharuba kali huko kisiwani Java.Meli hiyo inayoaminiwa ilipakia hadi abiria 500,ilizama wakati ikiwa njiani kutoka Sumarang Java ya kati ikielekea bandari ya Kumai huko Kalimantan.