1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika Wiki Hii: Rais William Ruto atangaza sehemu ya baraza lake jipya la mawaziri

19 Julai 2024

Baada ya shinikizo la vijana rais William Ruto wa Kenya atangaza baraza jipya mawaziri kutuliza mhemko wa kisiasa. Nchini Rwanda Paul Kagame achaguliwa tena kuendelea na urais katika uchaguzi wa rais na waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Annalena Baerbock azitembelea Senegal na Ivory Coast kuimarisha mahusiano. Jiunge na Saumu Mwasimba katika Afrika Wiki Hii.

https://p.dw.com/p/4iWWR