Msikilize Adipo Sidang’ mshindi wa tuzo ya Burt kwa mwaka 2017 kwa fasihi ya Kiafrika. Kitabu kilimchompa ushindi kinaitwa “A Boy Named Koko” kinachuhusu madhira ya wenye ulemavu wa ngozi hasa katika mataifa ya Tanzania na Malawi. Zaidi sikiliza kipindi “Karibuni.”