Ni utaratibu wa adhabu ya viboko 70 iliyotangazwa na wazee wa kimila wa kabila la Wameru wilayani Arumeru mkoani Arusha nchini Tanzania, adhabu inayowalenga wanajamii watakaokiuka maelekezo yaliyotolewa na wazee ikiwepo kufanya misiba ya kifahari na kuvaa nguo ambazo hazina maadili. Ungana na Veronica Natalis katika Makala ya utamaduni na sanaa.