Rais Kenyatta ahutubia bunge Kenya/ HRW: Tanzania haikutenda haki kwa kutokuviwajibisha vikosi vya usalama na wanamgambo ambao walihusika katika mauaji visiwani Zanzibar wakati wa uchaguzi wa mwaka 2020/ Wimbi la matapeli wanaotumia jina la Jeshi la Wananchi wa Tanzania kuwatapeli wananchi limeendelea kuongezeka/ Uganda, DRC wafanya mashambulizi ya pamoja dhidi ya ADF/NATO imeionya Urusi