Marekani imeitolea mwito jumuiya ya kimataifa kuitenga Korea Kaskazini na kukata mahusiano ya kidiplomasia na kibiashara// Upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umeitisha hii leo maandamano kushinikiza rais Joseph Kabila aondoke madarakani// Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Fransis amewasili mjini Dhaka, nchini Bangladesh.