Tuliyonayo mchana huu, Majeshi ya serikali nchini Syria pamoja na waasi waendelea kupambana leo katika eneo la magharibi la mji wa Aleppo//Waziri wa mambo ya kigeni wa ujerumani Frank-Walter Steinmeier amewasili nchini Vietnam kuanza ziara yake ya siku tatu //Utiaji saini makubaliano ya kibiashara yajulikanayo kama CETA kati ya Umoja wa Ulaya na Canada wacheleweshwa.