Uganda: Mauaji ya raia kwa kutumia mapanga nyakati za usiku yameongeza hofu na hasira miongoni mwa wakaazi wa eneo la Greater Masaka/ Maroketi zaidi yaelekezwa Kabul/ Rais wa Zambia aliteua wakuu wapya wa jeshi na kuwabadilisha makamishna wote wa polisi/ Wagombea ukansela Ujerumani wachuana katika mdahalo wa Televisheni/ Machafuko ya kimadhehebu yazuka Kusini mwa Lebanon