Viongozi wa Japan na Afrika leo wamehitimisha mkutano wa siku tatu mjini Yokohama// Serikali ya Tanzania na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi// Wanachama sita wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wamelipinga pendekezo la Kenya la kulijumuisha kundi la kigaidi la Al- Shaabab nchini Somalia katika orodha ya makundi ya wanamgambo.