Visiwani Zanzibar kuna taarifa kwamba serikali imeanza kutoa chanjo dhidi ya virusi vya corona kimya kimya baada ya chanjo hizo kuingizwa kwa usiri> Mahojiano/ Uganda: Watu wapatao 800 wanadaiwa kupewa chanjo bandia ya COVID-19, hali iliyozusha wasiwasi/ Myanmar yaanza kuwaachilia huru wafungwa wengine 2,300/ Watu kadhaa wafa kutokana na joto kali Marekani na Canada