Bunge la Rwanda hapo jana lilipitisha muswada wa sheria utakaowawezesha raia kumiliki silaha hasa bunduki mara tu watakapokamilisha mchakato wa kupata leseni au kibali// Wataalam wanasema visa vya uvuvi haramu katika eneo la Bahari ya Hindi vimeshamiri sana katika sekta ya uvuvi duniani.