Waziri mpya wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo ameishutumu Iran kwa shughuli zake katika kanda ya Mashariki ya Kati, ambazo amesema zinaivuruga kanda hiyo// Rais wa Iran, Hassan Rouhani amemwambia Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron kwamba makubaliano kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran lazima yabaki kama yalivyo.