Baada ya serikali ya Iraq kutangaza ushindi dhidi ya kundi linalojiita Dola la Kiislamu IS, wachambuzi wanasema itachukua muda mrefu kuijenga upya nchi hiyo// Kiasi kikubwa cha kakao inayotengenezewa chokoleti duniani hutoka Afrika Magharibi, ambako watoto wengi wanafanya kazi katika mashamba ya kakao.