Wajerumani wanasubiri kwa hamu kubwa serikali mpya ya muungano/ Laschet ameshikilia kikiki kwamba anataka kuunda serikali licha ya chama chake kushindwa. Je, ni hali ya kuwa king'ang'anizi tu au ana nafasi gani ya kufanikiwa?/ Umoja wa Mataifa hatiani kuhusu unyanyasaji wa kingono DRC/ Magaidi wa IS washaingia Sudan?/ Wasiwasi juu ya Rwanda kupanua ushawishi wake Afrika