COVID 19 yazidi kuitesa India/ Marekani haitaki zogo na China wala Urusi/ Je, watu wa Afrika Mashariki wanautizama vipi uongozi wa Biden?/ Tanzania: Taasisi ya HakiElimu imezindua ripoti yake ya uchambuzi wa sera ya elimu nchini humo ya mwaka 2014/ Myanmar: Viwanja viwili vya ndege vya jeshi vyashambuliwa