Ujerumani yaongeza muda wa marufuku kwa safari za kitalii/ Idadi ya maambukizi ya corona Tanzania yaongezeka hadi 480/ Tanzania: Wasiwasi unaongezeka kufuatia madai na visa vya wazi kuwa hospitali kadhaa zinakataa kuwapokea wagonjwa kutokana na wasiwasi wa ugonjwa wa COVID-19/ Polisi Burundi yaonya kuhusu uhasama wa vyama kwenye kampeni/ Mvua yasababisha maafa zaidi Kenya