Bunge la Tanzania limefanya kikao chake cha kwanza cha mkutano wa 14 mjini Dodoma// Tukio la kupatikana miili ya watoto 10 waliouawa kwa kuchinjwa na kisha waliofanya unyama huo wakaondoka na baadhi ya viungo vyao bado linaendelea kujadiliwa nchini Tanzania// Ripoti ya shirika la kimataifa la kupambana na ufisadi inaonyesha kuwa Rwanda na Tanzania zimeipiku Kenya katika vita dhidi ya ufisadi.