Huku Uganda na Tanzania zikiazimia kuanza kutekeleza mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi mwezi Juni mwaka huu, suala na kuwafidia wamiliki wa ardhi upande wa Uganda lingali nyeti// Nchi nyingi za kiafrika haziruhusu raia wake kuwa na uraia wa nchi nyingine kwa wakati mmoja// Maelfu ya Wapalestina hawapati tena msaada wa chakula na huduma za msingi kutoka Amerika.