Zanzibar- Leo ni mwaka mmoja tangu uchaguzi wa tarehe Oktoba 25 mwaka 2015 ulipofutwa// Urusi imekanusha ripoti ya uchunguzi iliyotolewa na Umoja wa Mataifa ikionyesha kwamba Serikali ya Syria imefanya mashambulizi matatu yaliyohusisha silaha za kemikali// Kamati ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa imepiga kura kuunga mkono azimio lenye lengo la kupiga marufuku silaha za nyuklia.