COVID-19 Kenya: Muda wa kutotoka nje usiku wasogezwa siku 60/ Kampeni zaendelea kupamba moto Tanzania/ Polisi Tanzania yasema msafara wa Lissu haukushambuliwa/ Mapigano makali zaidi kati ya Armenia na taifa jirani la Azerbaijan yameendelea / Leo ni maadhimisho ya siku ya kimataifa ya upataji habari