Urusi na China zampongeza Assad kwa kuchaguliwa tena+++EU huenda ikatuma ujumbe wa kijeshi Msumbiji katika miezi ijayo+++Shirika la Kimataifa la Kutetea Haki za Binaadamu la Amnesty International linaadhimisha leo miaka 60 tangu lianzishwe+++ Maoni: Ujerumani yatambua mauaji ya halaiki ya enzi za wakoloni nchini Namibia.