Serikali ya Syria inafanya mazungumzo na wapinzani kabla kuanza kwa mazungumzo ya amani// Serikali ya Somalia imeahirisha uchaguzi wa urais kwa mara ya nne sasa// Shirika la Chakula na Kilimo duniani, FAO, limesema kuwa robo tatu ya chakula kinachovunwa duniani hupotea au huaribika kwa mwaka.