Merkel ameubadili utaratibu wa muda mrefu wa Ujerumani kutounga mkono mkopo wa ushirikiano, na badala yake wiki iliyopita alizindua mpango wa pamoja wa mfuko wa fedha wa deni la pamoja wa Umoja wa Ulaya/ Togo imejikuta kwenye uwanja mpya katika kupambana na ugaidi kwenye kanda ya Sahel/ Ripoti inayofafanua hali ya kutegemeana kwa watu na mazingira katika sayari dunia