Dunia yaadhimisha mauaji ya halaiki ya Holocaust+++Urusi: Majibu ya Marekani kuhusu Ukraine hayaridhishi+++Tanzania yaanzisha operesheni dhidi ya ongezeko la mauaji+++Malawi, rais Lazarus Chakwera ameliteua baraza jipya hii leo na kuwarejesha serikalini wengi aliyowafuta hatua iliyowachanganya na kuwashangaza wengi+++Zaidi ya watu 5,000 wafariki kutokana na mzingiro wa Tigray.