Kitisho cha kushindwa mazungumzo ya biashara huru kati ya Umoja wa ulaya na Canada kinaweza kudhooofisha juhudi za Canada za kupunguza kuitegemea Marekani// Mzozo wa sarafu ya yuro unaoikumba Ugiriki haugongi vichwa vya habari tena// Kusambaa kwa magonjwa ya mimea kunatishia usalama wa chakula na biashara ya mazao ya chakula.