Kansela Angela Merkel anakabiliwa na shinikizo kubwa wiki hii. Anajaribu kusaka ufumbuzi wa tatizo la wakimbizi linaloitishia serikali yake ya muungano kati ya CDU, CSU na SPD// Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed ameupokea ujumbe kutoka Eritrea unaofanya ziara ya kwanza ya ngazi ya juu nchini humo baada ya takriban miongo miwili.