Uingereza; May amefikia makubaliano na chama cha siasa kali za kizalendo/ Trump na Modi wanakutana mjini Washington leo/ Serikali ya Kongo imeukosoa msimamo wa maaskofu wa kanisa katoliki,unaolazimisha kuitishwa kwa uchaguzi ifikapo Desemba mwaka huu/ Tanzania imetishia kuwakamata na kuwaondosha nchini wale wanaofanya kampeni ya kuwatetea mashoga> Mahojiano na Waziri wa mambo ya Ndani