Qatar imeingia katika mzozo na baadhi ya mataifa washirika katika kanda ya Ghuba, kuhusiana na kile ilichosema yalikuwa matamshi ya uzushi// Wahamiaji wanaosalimika na safari ngumu katika eneo la jangwa la Sahara, sasa wanakabiliwa na mateso mapya// Nchini Kenya hali ya ukame uliolikumba taifa hilo, inatajwa kuongeza wigo ya kujiajiri kwa watu wengi.