Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Waziri mkuu wa Uingereza anapanga kuwazuia raia wengi wa Ulaya wanaoishi Uingereza wasipige kura katika kura ya maoni kuhusu uanachama wa nchi hiyo katika Umoja wa Ulaya// Hali mbaya kiuchumi nchini Sudan Kusini// tanzania- Wataalamu wa Lishe wanakutana Arusha