Watanzania leo wameadhimisha miaka 53 ya muungano wa iliyokuwa Tanganyika na Zanzibar huku wasomi pamoja na wanahistoria wakikutana katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam kujadili hatma ya muungano huo// Kura za mchujo kuwateua wagombea viti mbali mbali vya kisiasa kwenye uchaguzi mkuu ujao nchini Kenya zinaendelea huku zikiwa zimesalia siku 103 uchaguzi mkuu kufanyika.