WHO: Hakuna haja ya kuwa na hofu ya virusi vya Corona/ Hali katika mji mkuu wa India, New Delhi, imeanza kurejea ya kawaida baada ya ghasia kati ya waumini wa dini ya Kihindu na Waislamu> Mahojiano/ Mahasimu wa kisiasa wa Libya wamekutana leo katika mazungumzo yanayodhaminiwa na Umoja wa Mataifa mjini Geneva/ Nzige watua Congo