Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis amelaani tamaa ya binaadamu katika hotuba yake ya Mkesha wa Krismasi // Watu 30 wameuawa katika shambulizi la wanamgambo wa itikadi kali mjini Kabul // Na Mahakama ya Marekani imeiamuru Korea Kaskazini kulipa dola milioni 500 kufutia kifo cha mwanafunzi wa Kimarekani Otto Warmbier