Chadema chakana kuwaidhinisha wabunge wake walioapishwa/ Mjumbe maalum wa Umoja wa Afrika nchini Mali, Rais wa zamani wa Burundi Pierre Buyoya amejiziulu wadhifa huo/Siku ya Kimataifa Kupinga Ukatili Dhidi ya Wanawake/ Waangalizi: Israel yashambulia Syria na kuua wapiganaji 8