WHO yatoa wito kwa nchi tajiri kuwachana na usambazaji wa chanjo za corona kwa faida ya nchi maskini // Colombia kumpeleka Marekani mlanguzi wa dawa za kulevya aliyekuwa anasakwa nchini humo // Na Ujerumani kuongeza doria kwenye mpaka na Poland kushughulikia suala la wahamiaji