Uchaguzi wa urais nchini Kenya utaendelea kama ulivyopangwa kufanyika hapo kesho// Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Dr. Kiza Besigye pamoja na wenzake wameachiwa kwa dhamana// Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amewasili Bangassou, jamhuri ya Afrika ya Kati.