Wawakilishi wa ECOWAS na viongozi wa jeshi la Mali washindwa kufikiana jinsi ya kurejesha utawala wa kiraia nchini humo// Tume ya uchaguzi ya Tanzania imeataja majina manne ya wagombea urais// Mkuu wa kukabiliana na ugaidi wa Umoja wa Mataifa,amesema zaidi ya wapiganaji 10,000 wa kundi la IS,bado ni tishio// Heiko Maas anaelekea Uturuki na Ugiriki kutuliza mvutano.